NANDY ALIVYOWATUNZA HAMISA NA AZIZ KI,MASTAA WASHANGILIA HAIJAWAHI TOKEA



Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!

We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven’t yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!

#entertainment #news #music #funny

source

Related posts

Bold – Bi Durlamaar Baina ft. Hulan (Official Music Video)

*AESTHETIC* Big Family MOVING DAY📦🌸🌈|| *VOICED*🎙️* || Toca Boca Family Rp🌎💐🌧️

Walaksei Report – Sisco Cherotich (Official Video) latest Kalenjin gospel music

34 comments

@HabibaKhamisi-xo8tz February 24, 2025 - 5:15 pm
Ndio Maana Huwa Nampenda Sana Nandy Kuliko Yule Queen Wa Wachafu 😂😂😂 Yaan Nandy Kafurahi Huyo Huwenda Naye Alitaka Hamisa AOLEWE🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@marialumbanga February 24, 2025 - 5:15 pm
Mc alikuwa Gara B nampenda huyo kaka akiwa mc
@NikoMdindile February 24, 2025 - 5:15 pm
Iv nikwel hamisa amezaa na mond?
@AgnesRashidi February 24, 2025 - 5:15 pm
Mungu akujalie ndoa yenu iwe ya Amani nafuraha
@HappyZefania-rg3ke February 24, 2025 - 5:15 pm
Wow❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@sarahmcharo1548 February 24, 2025 - 5:15 pm
mbona haicing sugar tena
@KeciaChaula-z3s February 24, 2025 - 5:15 pm
Yaani hii ndoa tumeifurahia watu wengi mungu akupe ujasiri hamisa
@esthernaphtaly9693 February 24, 2025 - 5:15 pm
Mungu awasimamie katika ndoa yenu dada Hamisa ❤❤❤❤ pendeza mno wenye husdaaa wake mbali na ndoa hiii ❤❤
@NasmaJafari-p1o February 24, 2025 - 5:15 pm
Utadumunayo
@MwajumaMwenjuma February 24, 2025 - 5:15 pm
Mungu awap kizaz chema
@LeylaGadau February 24, 2025 - 5:15 pm
Hongera sana hamisa umewaziba watu midomo mama ipe heshima ndoa uzidi kuwalaza
@zahrajumaa8965 February 24, 2025 - 5:15 pm
Jaman ❤❤❤❤❤❤
@VailethNyota February 24, 2025 - 5:15 pm
🎉🎉🎉🎉🎉, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💐💐❤️❤️😘😘😘😘😘
@JoyNice-u8b February 24, 2025 - 5:15 pm
Nashindwa bi harus n yupi wadada karibia wote wamependeza
@RoseMziray February 24, 2025 - 5:15 pm
Nandy tajiri mtoto
@fatma83ify February 24, 2025 - 5:15 pm
Mashallah mashallah
@MariamSaidi-n9b February 24, 2025 - 5:15 pm
Mke tunae na tunatamba nae oyooooooooo❤❤❤❤❤💋💋💋💋
@MariamSaidi-n9b February 24, 2025 - 5:15 pm
Wapiiiiiiiii kaka angu azizi ki miaka mingi brooo kwenye ndoa yako nakupenda sana na wifi angu amisaaa wana yangaa oyeeeeeeeeee❤❤❤❤🎉🎉🎉❤️❤️❤️🙈🙈🙈🙈🙌🙌🙌🙌
@MariamChonde-j8m February 24, 2025 - 5:15 pm
Azizi ki bdo ujamlza bdoo tar 8 tnaa uchkue jkooo jngne utultee pale jangwni kwaiyo sisi wana yanga tumekpa kazi jmbe ltu azz.k fndi🎉🎉🙏🙏
@Sarahmsekefu-to9hf February 24, 2025 - 5:15 pm
Mungu awatunze
@RahmhRr-d9v February 24, 2025 - 5:15 pm
Mungu nipe na mimi wangu wakunipenda ivi kama hamissa😢😢
@RahmhRr-d9v February 24, 2025 - 5:15 pm
I'm happy for u hamissa❤❤❤🎉🎉
@RahmhRr-d9v February 24, 2025 - 5:15 pm
From Burundi ❤❤❤
@GabrielDaegil February 24, 2025 - 5:15 pm
Mungu awatangulie sana
@EvalinDama February 24, 2025 - 5:15 pm
Zuchu akimaliza ujinga wake pia yeye atafunga ndoa
@DesderiusPeter-ld7mm February 24, 2025 - 5:15 pm
Aziz kwenye kucheza aliona kama wanampotezea mda
@aminatanzanya7475 February 24, 2025 - 5:15 pm
2025 Hamisa kajuwa kunyoosha watu 🙌 Mashaallah ndoa yako idumu milele ❤❤❤
@Hawaaa-q6u February 24, 2025 - 5:15 pm
Masha allh allh takabbal duaa
@Fatuma-x5c February 24, 2025 - 5:15 pm
Dah nomejifunza kit kwenye ndoa ya amisa mungu awabarika kwenye ndoa yenu
@AishaSaid-o8l February 24, 2025 - 5:15 pm
MashaAllah MashaAllah nandi katunza sana waooo
@AishaSaid-o8l February 24, 2025 - 5:15 pm
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
@Mrwejaa February 24, 2025 - 5:15 pm
Mungu ndo amepanga mpaka mnakutana na kupendana ivyo niyeye tu wa kumkabidhi mahusiano yenu hakika atawakinga na kila ubaya
@JanethcMwanga February 24, 2025 - 5:15 pm
Kiukwel haya ni mapenz na sio unafiki Mungu aihatamie ndoa yenu adui asipate nafas nayaona mapenzi hapo na sii kingine
@barakabarkey9374 February 24, 2025 - 5:15 pm
Nandy💕💕💕💕💕💕 nagupenda bure 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

Comments are closed.

Add Comment