[14:12, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Ni wimbo ambao Bwana alinipa Tarehe 1 June
Nikiwa nimetua Mjini Mbeya nikielekea Sumbawanga. Kutoka katika kitabu cha
zaburi 20: 7
Hawa wanataja magari na hawa farasi, Bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu.
Nani yangu nilikuwa niko kwenyemaombi na nilichokuwa namta Bwana ni yeye na nguvu zake.
Nikawa namwambia mimi siwezi kufanya pasipo wewe kufanya, nakuomba isiwe nikama mara nyingine lakini iwe ya utofauti.
Nikamwambia kunawale wanawatu wao wana walinda nakuwatetea, mimi sina mtu mwingine wala tegemeo lingine ila kwako.
Kwahiyo ndani yangu ndio nikasikia
WAMEKUJA , namagari, wamekuja nafarasi,
Sisi tumekuja najina la Bwana
Nina amini Mungu wako ataenda kukuinua kwakuwa umeamua kuliweka mbele Jina lake.
Mithali 21 : 31.
Far…
[14:12, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Ibra naomba uongezee iyo msg yahapo chini unapo uweka ujumbe YouTube
[14:14, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Nahuu ndio ujasiri wetu kwamba tuendapo kwa Jina lake vitu vina badilika kwenye maisha yetu
1 Yohana 5:14.
Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
1 Yohana 5:15.
Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
[14:16, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Kikoti’ Nimeuliza kuhusu nyimbo
Sinzioni kwenye music platforms.
Huwa natamani inapoingia vidéo na audio iwepo
[14:27, 08/08/2024] Mirium Lukindo: Nahuu ndio ujasiri wetu kwamba tuendapo kwa Jina lake vitu vina badilika kwenye maisha yetu
1 Yohana 5:14.
Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
1 Yohana 5:15.
Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
Hatuoni haya kulitaja jina lake
1 Samuel 17:45.
Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
source
30 comments
Praise the KING JESUS🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Comments are closed.
Add Comment